TUPIA JICHO KATIKA PICHA CHACHE ZA SENDOFF YA MAGDALENA LUCAS KUHARIBU ILIYOFANYIKA PICCOLO BEACH RESPRT IJUMAA YA TAR 31.10.2014

 Magdalena na matron wake wakikata keki

 Katika pozi, Magdalena akijiandaa kwenda ukumbini Piccolo
 Mama mzazi akiwa na wanawe wa kike, angalia wanavyofanana

 Kama kawa mwendo wa kwaito ndani ya picollo

 Biharusi mtarajiwa na matron nao wakienda sawa kwenye kwaito

 Pale kati nilikuwa nimeshika mpini mwenyewe, MC Dr, Chris Mauki kuhakikisha kila kitu kina run smoothly



 Kaka akiwamiminia shampeni Magdalena na matron wake

 Nikitoa maelekezo machache kabla ya kutoast

Kaka muoaji, a.k.a bwana harusi mtarajiwa Adam Kazarani akiwa na mpambe wake kwa chati mara baada ya kutambulishwa rasmi na Magdalena mbele ya halaiki kubwa, hapa nikitoa maelekezo kabla ya kuelekea kwenye dinner.
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment