PICHA: BRIDAL SHOWER "WHITE PARTY" YA RUBY MBWILO - 07.02.2015 MBEZI BEACH


 Mc Mary ndio alishika mpini pale kati

 Bi harusi mtarajiwa Ruby Mbwilo


 Dadangu Chegy akifuatilia talk kwa makini


 Kama kawaida nilipata fursa ya kuzungumza na bibi harusi mtarajiwa pamoja na wageni waalikwa

















 Mama Jacquiline Mneney, Mkurugenzi wa TANTRADE naye alikuwepo, hapa akitoa mfano wa commitment kwenye ndoa akimtumia Neema Shayo

 Nikimsikiliza kwa makini dada yangu mpendwa na mke wa boss wangu Prof Mgaya baada ya kukutana kwenye party


Ruby akiwa mwenye furaha baada ya mumewe mtarajiwa Bright Mziray naye kutinga gafla kwenye white party hiyo
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment