Bwana harusi James Temu a.k.a Uncle Jimmy wa Chomoza ya Couds TV akiwa na mkewe Siah ndani ya Lulu hall
As usual Chris na Miriam Mauki, Best man and Matron
Tukiwa Seduta Hotel Salasala, baada ya kutoka kanisani, Kushoto kabisa ni Fredrick Lyatuu General Manager wa Seduta hotel
Joyous smile
She is the fan of styles
Baada ya wedding tuliwapa company maharusi kwa kuwa nao hotelini, (tunakagua kazi.... hahahhaaa) hapa ni asubuhi ya Jumapili
Mchemsho wa kuku wa kienyeji ulihusika sana asubuhi ile
Kwa niaba ya Maharusi James na Siah, na kwaniaba ya mke wangu mpenzi Miriam, nichukue fursa hii kushukuru uongozi mzima wa Seduta Hotel kwa kutufanya tujisikie nyumbani kabisaaa, najua bado maharusi wetu mnaendelea kuwatunza vema hapo hotelini. Fredrick Lyatuu, thanks so much kaka. Jiandae kutupokea sasa kwenye Couples's Sleep over 2014 "Closer than before tarehe 17, 18, na 19 October, hapo hapatatoshaaa. Big up sana brother. Haika sana mmeku














0 comments:
Post a Comment