Ndani ya ukumbi wa Midland Hotel Msamvu, nyomi imetulia kusikiliza nondo za fursa
Mkurugenzi wa Clouds media group Ruge Mutahaba akitoa maelezo machache kabla ya kuwakaribisha watoa mada
Nikiwa kikazi zaidi, nikidadavua somo lenye kichwa "Tabia za kisaikolojia za mtu anayesaka fursa"
Siku ya pili ya fursa, ni siku ya kukutana na watu katika vikundi ili kusaidiwa mbinu za kuboresha biashara na miradi yao, kwa mbali hap yuko Niki wa pili kutoka kundi la Weusi akiwasaidia watu wa Morogoro
Chris Mauki, Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba, na Niki wa Pili kutoka kundi la Weusi, hapa ni Nashera hotel tukipata kifungua kinywa kabla ya kuelekea Midland Hotel kwa ajili ya Fursa








0 comments:
Post a Comment