Hivi ndivyo ambavyo Mlimani city hall ilipendeza
Hugo domingo ndio waliisimamia kazi hii ya kurembesha ukumbi
Hapo ndipo ma red carpet yalifanyikia
Keki ya send off
Dj Omari wa Respect DJ's na mwenzake walihakikisha kila kitu kwenye muziki kinaenda sawia
Hii ni ratiba ya event nzima, upande mmoja ndipo kwenye contacts zetu na namna za kutupata
Mdogo wa Zaina, Asha Mangapi
Mama mzazi wa Zaina na Mjomba wake
HB Entertainment walikuwa hima kuhakikisha kunafana
Nilipata fursa ya kuisimamia show hii mwanzo mwisho
Zaina Mangapi akiingia kwa furaha
Nikitoa baadhi ya maelezo
Usimamizi wa show ukiwa thabiti
Zaina akikata keki yake ya send off
Mama mzazi akipokea keki kutoka kwa mwanae
Mdogo mtu Asha akipokea keki ya shukrani kutoka kwa dada yake
Ufunguzi wa shampeni ndio uliofuatia
Toasting kati ya Zaina na matron wake
Zaina akitoa utambulisho wa ndugu zake
Furaha na kucheza kulitawala shuhuli nzima
Nyomi ikishuhudia tukio lililofana sana
Nimuziki mpaka chini
Mama Zaina akitoa nasaha zake
Kulia ni bwana harusi mtarajiwa Salehe Nakei
Nikimkaribisha muimbaji Nyota Waziri kutoka Njenje kutumbuiza
Nyota akiimba wakati Zaina anakwenda kumkaribisha mumewe mtarajiwa chakula
Mpenzi karibu twende kula
Best man na matron walikuwa sawia
Mdogo mtu Asha Mangapi akihakikisha hakosi tukio lolote
Buffe zilishona kila aina ya mlo, show hii ya maakuli ilisimamiwa na Dorka catering chini ya uongozi wa rafiki yangu na dada yangu mpenzi Dorothy Kansolele. Hakika amesimama vema kwenye hii kazi. Ukiwataka Dorka catering wacheki kwa 0659 381 151
Maharusi watarajiwa wakipata chakula
HB Entertainment walihakikisha watu wa Bukoba wanajisikia wako Kamachumu
Zoezi la zawadi lilifana sana
Tunamtunza mama kwa kaazi njema ya malezi
Kamati ilikuwa imesheheni
Kutoka kwa kampuni ya familia, mdogo mtu aki "chop my money"
Mama mzazi naye akitoa zawadi zake kwa mwanae
Mzee Muta wa FM production ambao walisimamia show ya video na picha akitoa zawadi kutoka kapuni yao
Salehe na wakwe wakiaga ili kuondoka ukumbini
Tukiteta jambo na Zaina
Zaina akishukuru kwa kila lililojiri katika siku hii yake kubwa
0 comments:
Post a Comment