Nimepata tena heshima kubwa ya kuwa mzungumzaji katika Marriage Revival Seminer ndani ya Mikocheni "B" Assemblies of God Mlima wa Moto siku ya Ijumaa tar 6 March 2015 kuanzia saa 12:30 jioni. Nitasimama pamoja na mchungaji kiongozi Dr. Getrude Rwakatare (MB) katika siku hiyo kuhakikisha tunasema na wanandoa. Ukitaka kushiriki pata tiketi yako pale Victoria petral station, Mikocheni B assemblies, Praise power radio na Mlima wa moto Boko kwa shilingi 30000/- kwa couple na shilingi 15000/- kwa mtu mmoja. Karibu sana
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment