JE UNAIJUA KAZI YA VIAGRA? KWA WANAOTUMIA KWA SIRI


Vidonge hivi huwezesha damu kubaki katika uume na hivyo kufanya uume usimame. Ufahamu huamka baada ya ubongo kupeleka ujumbe wa msisisimko, na hapo damu huenea katika maeneo ya mwili hususani kwenye uume na hivyo kuuwezesha kusimama “erection” tayari kwa tendo la ndoa, nguvu utakayoiona hapa ni ya kusababishwa na vidonge hivi na sio ya asili. Wataalamu wanashauri kwamba matumizi ya vidonge hivi yanaweza kuwa na athari za ndani ya mwili “side effects”kutokana na utofauti wa ubora wa vidonge vyenyewe, na pia wale wanaozidisha matumizi yake wanaweza kujikuta wanakuwa dhaifu katika tendo la ndoa kadri siku zinavyozidi kwenda na hatimaye kushindwa kabisa -Chris Mauki.
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment