Watu wakiingia ukumbini Mlimani city
Aliyewahi kuwa VC, UDSM Prof. Luhanga akiwa na DVC - Administration wa sasa Prof. Mfinanga
Nikiongoza shuhuli kama MC
Mpiga picha wa chuo akiwa ametulia ukumbini
DVC - Utawala Prof. Mfinanga akitoa neno la ufunguzi
Meza kuu. VC Prof. Mukandala na Mh. Asha Rose Migiro
Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi THTU akitoa salamu zake
Dr. Nandera Mhando, Jack Mgumia na Dr. Chris Mauki wakiteta jambo
VC Prof. Mukandala akitoa baraka zake katika sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya ya wafanyakazi wa CKD
Bendi ya Mapacha watatu ilitia fora
Prof. Mfinanga na Prof. Kimambo
Dr. Nandera akijiandaa kufungua shempeni
Mkuu wangu wa idara Dr. Kafanabo (wapili kutoka kushoto) akiwa na Dr. Amina Kamando (wa kwanza kushoto) na wengine
Toasting ilibamba sana
Dean wa Shule Kuu ya Elimu Dr. Dachi akigonga glass na wafanyakazi wenzake
Jose Mara na Khalid Chokoraa kutoka Mapacha watatu walitia fora kwenye uimbaji
Mh. Asha Rose Migiro, ambaye amewahi kuwa mfanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Prof. Muzale alifungua pazia la "jokes"
Baadhi ya wafanyakazi kutoka SOED walikaa meza moja, Dr. Dachi na Dr. Amina, pembeni ni Dr. Kafanabo ameonekana bega tu
Dr. Bana akisikiliza jambo kwa makini
Hapa watu wakishiriki kutoa maelezo ya mchezo alioutoa Prof. Muzale
MC Ndimbo, ambaye ni mfanyakazi wa DUCE naye alikuwepo
Dr. Ishengoma akifuatilia kila linalojiri
Ukumbi umeshiba, ni muziki kwenda mbele
Kitambaa cheupe iliamsha kila mtu
MC's in the house Dr. Chris Mauki na Mc Ndimbo
Jose Mara akiimba
Nikisimamia show nzima
Bendi ya Mapacha wa tatu
Chris Mauki na Jose Mara wakiteta jambo
Dakota (kushoto) Meneja wa Mapacha watatu akifuatilia vijana wake wakishusha mambo
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Prof. Mchome na Mh. Asha Rose Migiro wakielekea kwenye meza ya chakula
Kwaito ilileta mvuto mkubwa sanaaaa
Huyu kaka yangu wa Auxiliary Police alicheza sanaaaaa, labda kuliko yeyote yule. Alitufurahisha mnooo. Kweli tunahitaji hizi nyakati mara kwa mara
Mduara nao ulihusika
Dr. Wadrine Maro kutoka SOED
Dr. Chris Mauki, Dr. Maro, Dr. Dachi na Dr. Amina Kamando
VC, Prof. Mukandala, Mh. Dr. Fenella Mukangara (katikati) na Mh. Dr. Asha Rose Migiro wakifuatilia kwa makini yanayojiri
MC Ndimbo akienda sawa
MC Ndimbo na DJ P wa Respect DJ's. MC Ndimbo ni mmoja wa team kubwa la MC's ndani ya Respect DJ's
Meza kuu katika picha
DVC - Academic Prof. Luoga akitoa neno la kufunga
0 comments:
Post a Comment