Street dancers ikiongozwa na Super Nyamwela, jamaa walitishaaaa
MC Dr. Chris Mauki na Jokate Mwengelo ndio walikuwa washika mpini kuiongoza shuhuli nzima, Thanks to Haakneel production for this platform
Mkurugenzi mtendaji wa Haalneel production Mr. Emmanuel Mahendeka akikabidhi hotuba yake fupi kwa mgeni wa heshima Makamu wa Rais Mh. Dr. Mohamed Gharib Billal
Kaimu katibu mkuu mtendaji wa BASATA akiongea
Naibu waziri wa Habari, utamaduni na michezo Mh. Juma Nkamia akiongea
Ngoma kutoka Ukerewe ilibamba sanaaaaa,
Isha mashauzi na vijana wake walitumbuiza vema pia
Vijana toka Ako Mpiluka band nao walifanya manjonjo ya hatari, hapa wakicheza na moto, na picha ya chini ni sarakasi mahiri
Diamond Platinums na kundi la wasafi waliweka alama ya tofauti kwenye jukwaa
Nyomi ya watu wakifuatilia kila tukio jukwaani, huku mbele ni VIP's na nyuma ni IP
Wana Njenje, namwona kaka Kitime akigonga masauti
Fashion show pia ilibamba sanaa na iliratibiwa na mama wa mitindo Asiah Hidarus, huyu ni rafiki yangu Mc, Zipompapompa na alivishwa na Asia Hidarus
Huyu dada kama unamkumbuka aliwahi kuwa Miss Tanzania (Enzi hizo kabla hawajaanza kudanganya umri)
Mama wa mitindo Asia Hidarus na wanamitindo aliowavisha, Zipompa kwa chati
Kama kawa, nikiwa makini zaidi kuongoza tukio wakati huu mwenzangu Jokate akiwa anahoji watu Back stage, Thanks to my director Madudu, you really worked hard to make this thing a success, Mr Man you are good
All the way from Nairobi Kenya, The Omondi's brothers, Eric na Fred Omondi wali crack mbavu za watu mbayaaaaa
Vijana wa gumzo, Yamoto band, walisawazisha kila kitu madogo hawa, yani basi tu,
Mkurugenzi mtendaji Haakneel Production Mr. Mahendeka akiwa na Kaimu katibu mkuu BASATA, hawa wote wanavyopendeza walivukwa na dadangu wa ukweli Veronica chini ya LARENA Fashions, Big up and keep it real Veronica
Shukrani na pongezi za nguvu kwa chama kubwa, chama la ukweli lililovamia fani hii ya maevent kwa kasi na nguvu ya roketi----Haakneel production, kiukweli mmeweka standards za juu, you all deserve a clap and a hug. Big up sanaaa




















0 comments:
Post a Comment