Asubuhi ya leo wadau wakienda sawa kwenye bonanza ya aerobics pale Oil Com Sayansi
Kwa mbali Miriam naye akienda sawa, kulia kabisa mwenye ni member wa kataa unene family Angela Msangi
Siri ya urembo, Miriam akikomaa
Na mimi wala sikuwa nyuma, kitambi mwiko
Pata japo hisia ya hali ilivyokuwa kwenye bonanza




0 comments:
Post a Comment