Bwana harusi Raphael Soka na mkewe mpenzi Fransisca wakiwa kwenye garden ya Double Tree Hotel
MC Dr. Chris Mauki akitoa maelekezo ya namna ya utoaji wa zawadi kwa maharusi
Waalikwa wakigonga menu
Kikazi zaidi, MC Dr. Chris Mauki ndani ya Coco beach hall
Bride maids wa siku hiyo wakiwa in red
Maharusi pamoja na Best man Mr. Fidelis
Shemeji lake mtu, a.k.a mama mlezi wa bwana harusi, dadangu wa ukweli Theresia Soka alikuwa hamasa kubwa kwenye hii siku
Kwa raha zao maharusi Raphael na Fransisca
Maharusi wakivishana pete kanisani St. Peters
Biharusi Fransisca, Matron Sara na dada wa biharusi
Looking fabulous, bi harusi Fransisca na Matron wake Sara, mke wa Best man Fidelis
Kwa uhitaji wa MC katika matukio kama haya, au ushauri katika masuala ya matukio "events" usisite kuwasiliana nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com
Make a difference in your event
















0 comments:
Post a Comment