Tunaanza safari
Ndo tumetua Mwanza
Nikifanya interview na waandishi wa habari wa magazeti katika hoteli ya Kingdom
Interview na waandishi imemalizika naelekea room
Machana tuliwasili Metro Radio fm kwa ajili ya interview nyingine, niko na Lusajo, Stanley na Betty waandaaji wa couples event Mwanza
Baada ya interview yangu ilifuatia ya Diamond kwa ajili ya fiesta
When the gospel and secular music meets
Baada ya kugongana sana mjengoni clouds fm, tukajikuta tuko hoteli moja na kaka Mbwiga wa Mbwiguke
Baada ya lunch tulimtembelea Stanley na Laura waliopata mtoto wa kiume. Hawa ni members wa Couples friends network ya Dar ingawa wanaishi Mwanza na huja Dar kila tukiwa na couples sleep over
Chris, Laura wa Stanley, Miriam, Stanley wa Laura na Tandi
MWISHO WA DAY 1
Usikose Day 2














0 comments:
Post a Comment