Tukiwa kwenye breakfast Kingdom Hote, Always pleasing when she is close
Wonderful coincidence, Mc Luvanda "a friend and brother" alikuwepo kuongoza shuhuli nzima, hapa tukiwa hotelini asubuhi ya tukio
Upako wa nondo umeshuka, ni kutema cheche tu kwenda mbele
Wanandoa wa Mwanza wakifuatilia mafundisho kwa makini
3M Network waandaaji wa Mwanza couples night gala
Betty, Mwenyekiti wa 3M Network akizungumza. This woman is really a fighter "Keep it up Betty"
Nilipata heshima ya kukabidhi awards na vyeti kwa wadhamini wa tukio hili, huyu jamaa anatoka Nyuka Technologies
Nikikabidhi cheti cha kutambua mchango wa udhamini kwa Martin, Meneja wa biashara CRDB Bank Mwanza (Martin ni rafiki yangu wa zamani tukiwa digrii ya kwanza UDSM, wala sikuwahi kujua yuko Mwanza)
Wanandoa wachanga kuliko wotee "just married couples" walipata fursa ya kukata keki
Miriam akiimba wimbo wake mpya "Put the light on" kaa tayari kuusikiliza ukitoka
Wasaa wa maswali na majibu palichimbika, ni kufunguka na kujiachia tu
Dr Kweka, mtaalamu wa figo Muhimbili, Member wa Couples friends network ya Dar aliambatana na mimi kwa ajili ya kudadavua mada, wale waliokuwepo wanajua nini kilidondoka
Hapa wala sina cha kusema, "proud of you Miriam"
Hii ndo meza yetu tuliyoketi
MWISHO WA DAY 2 YA EVENT
DAY 3 "The last day"
Tukiwa kwenye jiwe la ajabu, mpiga picha wetu Miriam akijitahidi kupata shots
Adelard, Tandi, Miriam na Chris, tuki barizi kabla ya kuelekea airport
Mstahiki meya wa moyo "always safe with her on ma side"
Then tukamsalimia Mchungaji Mungubariki Mauki, Baba yangu mpenzi ofisini kwake

























0 comments:
Post a Comment