PICHA: RED CARPET YA VALENTINE LOVERS' DINNER & TALK. PART 1

 Mamaa mwenyewe mwenye mji Miriam Lukindo Mauki

 MC wa shuhuli my brother, my friend and my student at UDSM Paul Masele


 The youngest couple of the day, miezi miwili tu ya ndoa, all the way from Morogoro





 Miriam na Dada Hope



 Joanita, a.k.a "Jo" Mrengo, Mmiliki wa RM Collections mmoja ya partners wetu. Ukitaka masuti na nguo nyingine tofauti toka uingereza, hawa wanahusika

 Hawa nao ni kutoka RM Collecetions




 Hata kama mtoto ana miezi 4bado hakuweza kuwa sababu ya wawili hawa kuto celebrate valentine, pongezi kwao

 Was happy kumwona mfanyakazi mwenzangu wa UDSM na mkewe, wale wanaosoma au waliosoma sheria UDSM mnaijua sura hii

 Hapa wala sina cha kuelezea



 Friends and partners in the business. Hawa ndio wabeba maono ya Valentine lovers dinner n talk. Mimi na Abdul Kimanga wa Respect DJ's na Sherehe yetu.com

 Niliwahi kuwa MC kwenye harusi ya marafiki zetu hawa, na hata leo tabasamu iko pale pale, hongereni sanaaa



 Chris, Miriam na Joanita



 Papaa Rogers na Joyce Ibengwe nao waling'ara



 Martin Chanila na mtarajiwa pia walikuwepo













 The oldest couple of the day, 28 years kwenye ndoa na bado malovee mule mule


 Thomas Mongela na mkewe nao hawakukosekana


 Kulia ni Silvanus Mauki, mdogo wangu wa mwisho, na Best Mauki, vichwa hivi ndiyo kwenye technical department ya events zetu


 Haris Kapiga naye kama kawa


Paul na mentor wake Haris Hapiga. Kipaji cha ku mentor unacho kaka



Kesho nitakuletea full mapicha ya event nzima ilivyokuwa ndani na katika kila hatua
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment