The youngest couple, miezi miwili tu ndani ya ndoa all the way kutoka Morogoro, hawa walipata nafasi ya kukata keki
Abdul Kimanga wa Respect DJ'S na Shereheyetu.com
Mic pale kati lishikwa na kaka Paul Masele, rafiki, my brother na mwanafunzi wangu UDSM
Joanita Mrengo wa RM Collections (mwenye red) akihakikisha hapitwi na chochote ndani ya ukumbi
Dadangu Bea na mumewe mpenzi waki smile
Joyce Nangai wa Ibengwe na Devotha wa Thom Mongela wakienda sawa, ni kicheko bin smile
Na mimi pia nilipata nafasi ya ku toast na wadau
Pale kati watu pia walipajaza kwa blues. Ni kusambaza love tu
Ni Zero distance
Kutoka Angela Cakes. Shukrani za pekee sana sana kwa dada yangu Angela Msangi kwa kuitoa keki hii nzuri sana ili wapendanao waimege kila mmoja. Ukitaka huduma ya keki kutoka Angela Cakes basi twende kwa 0782297408
The oldest couple, miaka 28 kwenye ndoa na bado mapenzi mule mule
Nyomi ilihusu
Haris Kapiga na mkewe "Mama Larry" walikuwepo pia
Anna Lawere, wa kwanza kulia. Mmoja wa wakurugenzi wa Mbezi Garden Hotel akifuatilia kwa umakini
Shule pevu ilishushwa na mimi mwenyewe. Hapa hapakutosha hadi saba usiku, mtu hajigusi wala hatoki nje
Rogers na Joyce Ibengwe wakijipanga kulijenga hekalu la Bwana
Ni pale utamu wa kushusha nondo unaponinogea
Mimi pamoja na mke wangu Miriam ukiwashkuru watu wote kwa kufika
Miriam akiwashkuru patners wetu na wageni wote, pembeni ni Abdul Kimanga mmoja ya wabeba maono ya event hii.
Kaka Nkarang'ango alishindwa kujizuia ilikuwa kama saba kasoro usiku akazungumza jinsi alivyosaidika na kuvutiwa na shule iliyotolewa, na kuhimiza event za namna hii ziwe mara kwa mara.
Kennedy Ndossy wa Masama Blog naye alikuja na Maiwaifu wake
Blogers in the city. Dr. Chris Mauki wa Chrismauki.com, Mike Mushi wa Jamii Forums, Ken Ndossy wa Masama blog na Abdul wa sherehe yetu.com














































0 comments:
Post a Comment