Tulinawe "Ruth" Willilo alivyong'ara juzi hapo Hekima Garden, Leo Alhamis tar 5.2.2015 ndiyo tunamtoa kwenye Sendoff yake nzuri itakayofanyika pale Lugalo Golf Club
Mamamaaa Lizy Willilo wa Mangesho maandalizi ya shuhuli kwa simu hadi tukioni, hongera dadangu wewe ndo injini ya shuhuli hizi
Kama kawa, Maria Nelly na class mate wao wa UDSM Law class mwaka uleeeeeeeeee
Mmmependeza jamani














.jpg)












0 comments:
Post a Comment