PICHA: SENDOFF YA NEEMA KITEMBE MNDEME. 28.01.2015 KWALALUMPUR - SINZA

 Neema akionyesha huba kwa kumpa busu mume wake mtarajiwa Tumsifu, hapa alikuwa akimkaribisha chakula

 Kwalalumpur imetendewa haki

 Pale kati mpini ulishikiliwa na MC Dr. Chris Mauki


 Mtu na wake


 Kama kawa, Kwaito toka kwa Mafikizolo zilikamata mbayaaaa


 Dinner time, mamaa mbele babaa nyuma

 Fani ndani ya fani, passion into the passion

 Mamaaa Zainab, dada wa Biharusi mtarajiwa, alikuwa motoooooo kwenye kucheza, yani achaaa

 Happy moments, moments to remember

 Maids in rainbow colours





 Keki nzuri kabisa kutoka kwa Mwajuma cakes

 Neema akikata keki yake huku msimamizi wake Edna akimsaidia

 Neema akiwashukuru wazazi wake kwa kuwapa keki

 Neena akiwashukuru wazazi wa mume wake mtarajiwa, Mr and Mrs Kileo kutoka Lyamungo

 Toasting time

 Happy faces


 Mmmojawapo wa wazazi akitoa maneno ya nasaha




Kamati ya maandalizi


Picha hizi ni kionjo tu, kiu yako malizia kwa kuangalia zote ndani ya blog dada wa hii www.shereheyetu.com

Kwa mahitaji yote ya kuandaliwa matukio na kuyaratibisha (social and corporate events) wasiliana nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment