Ile siku ya wapendanao ndo hiyooo inakuja tar 14.02.2015, tumeamua kuhakikisha wale wenye umakini hawafurahii, kucheza miziki na kula bata pekeyake bila kuyajenga mahusiano yao, hapa tunakuletea hii diner and talk event. Sio ya kukosa. Soma details kwenye tangazo na kwa mawasiliano zaidi ongea nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment