HIVI UTAKUA LINI??


 Hivi inakuwaje marafiki zako wanaku contol kwa kiasi hicho? inakuwaje wana influence maamuzi yako kuliko hata mpenzi wako, mume wako, au mke wako? Hivi kweli maamuzi ya kuingia kwenye hiyo ndoa uliyafanya mwenyewe? au ulishawishiwa? au ulikurupuka? ama labda uliamua kuoa/kuolewa kwasababu wengine nao wameoa/kuolewa!!!. Minakushauri ukue. Umri wa miaka "chronological age" hata kobe anao, humu kwenye ndoa tunaangalia zaidi umri wa akili na kupevuka "mental age and maturity". We shauri yako ngoja uachwe -Dr. Chris Mauki
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment