VIDEO: KAMA WEWE NI MZAZI MWENYE UPENDO NA WANAO, BASI SIKILIZA KILIO CHA MTOTO HUYU
Mara nyingi sana sisi wazazi tumekuwa bize sana na mambo mengi tukidhani ndio jawabu la kuwatafutia maisha mazuri watoto wetu, tunasahau kwamba wanachokitaka kwetu sio vitu bali sisi wenyewe. Badilika, kuwa baba bora na mama bora na kama huwezi jukumu hilo basi huna haja ya kuwa na watoto.
0 comments:
Post a Comment