PICHA: SEND OFF YA LILIAN FANUEL MALEKELA - SUN SET TWIGA HALL 6/12/2014

 Hawa ndio walikuwa wasindikizaji maalum wa Lilian

 Lilian na matron wake Lidya wakijipanga kukata keki

 Bwana harusi mtarajiwa Michael Kamau kutoka Murang'a Nairobi Kenya akiongea jambo

 Kwa mila ya Wanyiramba na wagogo mgeni hukaribishwa kwa maziwa yaliyoko kwenye kibuyu, hapa Michael anaandaliwa mtindi babkubwaaaa



 Bi harusi mtarajiwa Lilian Malekela akipokea mic ili kumtambulisha mumewe mtarajiwa







Pale kati kama kawa nilichika mpini mwenyewe, Director of ceremony, Dr. Chris Mauki
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment