DVD hii haitakuacha kama ulivyo kimahusiano, itaubadilisha mtazamo wako na kukupa uelewa mkubwa sana kwenye namna misuguano inavyoibuka kwenye mahusiano na namna ya kutambua mianya husika.
DVD hii inapatikana kwa sh 10000/= tu. Kwa sasa inapatikana chuo kikuu na Survey ESAURP Village close to Mlimani city. Soon utaambiwa maeneo mengine ya kuzipata


0 comments:
Post a Comment