PICHA: SEMINA YA WAHASIBU WA MAHAKAMA KUU NCHINI - MOROGORO HOTEL 19.11.2014

Kama kawa, nilipata fursa ya kushusha nondo kuhusu "JINSI YA KUJENGA HAIBA YA MTOA HUDUMA BORA" hapa ilikuwa Morogoro Hotel Jumatano iliyopita

Wadau wakiwa bize kusikiliza somo


Wadau hawa walitokea mikoa yote ya Tanzania katika ofisi za mahakama kuu

Shule inazidi kuteremka hapa

I love this thing, Public talks, yani acha tu

Hapa ni baada ya kumaliza talk yangu. Nipo na Chief Accountant wa Mahakama kuu Tanzania Mh. Fanuel Tiibuza (mwenye suti nyeusi na miwani), na kulia kwangu ni Straton Makundi, Mkuu kutoka AUDITAX kampuni iliyoandaa mafunzo haya
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment