Dr. Chris Mauki na mke wake mpenzi Miriam, waanzilishi na waandaaji wa Couples' sleep over, Hii ya Seduta ilikuwa ni ya sita
Mc John Mambya na mkewe wakiwa wenye furaha kubwa ndani ya couples' sleep over 2014 - Seduta hotel
Wadau wakifwatilia mafundisho kwa makini sanaaaaaa
Dr. Tandi Luoga - Hunde na dada yangu Kwezi mke wa Makuhi wakiwa wamepozi hotelini
Mchungaji Hiza na mkewe walikuwepo kushusha nondo
Wanandoa wenye kiu ya mabadiliko na maboresho wakiwa kwenye mjadala
Happy couples
Nikisisitiza jambo, wakati wautambulisho wa couples usiku wa Ijumaa tar. 18 Oktoba 2014 siku watu walipowasili, hapa ni baada ya chakula cha jioni
Baadhi ya wake za waheshimiwa waliohudhuria, namwona, Rebecca mke wa Mathew Sasali, Miriam wa Mauki, Milembe wa Sam Sasali, Kwezi wa Makuhi, Jane wa George Seki, Neema wa Ndossi a.k.a Masama blog, Tandi wa Hunde, Riziki wa MC John Mambya, Leticia wa George, na Milka wa kaka Masota Magigita, wengine walikuwa wamepumzika. View ya Seduta Hotel reception
Hapa mpaka kieleweke, tutaongea, tutajadili, tutafundisha na mahusiano yatabadilika tuuu
Happy couples
Harry Mtua na mkewe Huruma wakiwa makini sana kusikiliza points
Kila chumba kilikuwa na mandhari ya kimahaba, Thanks my wife Miriam for these fabulous ideas
Roses flowers kila kona hadi uvunguni na bafuni
Hadi raha yani, hatakama mtu kaja na matifu yake na mpenzi wake yanapoa taratiiibuuu
Halafu baada ya yoooteee kila mtu na mwenzake walihudhuria mnamo kitanda, na yaliyoendelea hapo................... jijibu wewe mwenyewe!!!!@#$&^%_+?


.jpg)









great...i hope this helped them
ReplyDelete