PICHA ZA MATUKIO KATIKA COUPLES' SLEEP OVER 2014 "CLOSER THAN BEFORE" SEDUTA HOTEL TAR 17 -19 OKTOBA 2014

 Dr. Chris Mauki na mke wake mpenzi Miriam, waanzilishi na waandaaji wa Couples' sleep over, Hii ya Seduta ilikuwa ni ya sita

 Mc John Mambya na mkewe wakiwa wenye furaha kubwa ndani ya couples' sleep over 2014 - Seduta hotel

 Wadau wakifwatilia mafundisho kwa makini sanaaaaaa

 Dr. Tandi Luoga - Hunde na dada yangu Kwezi mke wa Makuhi wakiwa wamepozi hotelini

 Mchungaji Hiza na mkewe walikuwepo kushusha nondo


 Wanandoa wenye kiu ya mabadiliko na maboresho wakiwa kwenye mjadala

 Happy couples

 Nikisisitiza jambo, wakati wautambulisho wa couples usiku wa Ijumaa tar. 18 Oktoba 2014 siku watu walipowasili, hapa ni baada ya chakula cha jioni
 Baadhi ya wake za waheshimiwa waliohudhuria, namwona, Rebecca mke wa Mathew Sasali, Miriam wa Mauki, Milembe wa Sam Sasali, Kwezi wa Makuhi, Jane wa George Seki, Neema wa Ndossi a.k.a Masama blog, Tandi wa Hunde, Riziki wa MC John Mambya, Leticia wa George, na Milka wa kaka Masota Magigita, wengine walikuwa wamepumzika.
 View ya Seduta Hotel reception

 Hapa mpaka kieleweke, tutaongea, tutajadili, tutafundisha na mahusiano yatabadilika tuuu
 Happy couples

 Harry Mtua na mkewe Huruma wakiwa makini sana kusikiliza points







 Kila chumba kilikuwa na mandhari ya kimahaba, Thanks  my wife Miriam for these fabulous ideas
 Roses flowers kila kona hadi uvunguni na bafuni

 Hadi raha yani, hatakama mtu kaja na matifu yake na  mpenzi wake yanapoa taratiiibuuu

Halafu baada ya yoooteee kila mtu na mwenzake walihudhuria mnamo kitanda, na yaliyoendelea hapo................... jijibu wewe mwenyewe!!!!@#$&^%_+?
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments: