PICHA: DARASA LANGU LA AEROBICS - JAKARANDA, HATFIELD, PRETORIA. S.A

Darasa hili nililianzisha kwa mbinde sanaa, watu wengi wakipata shida ya kudamka mapema asubuhi kwasababu ya baridi kali ya Afrika ya kusini, lakini taratibu baada ya watu kuona matokeo mazuri ya zoezi darasa likaanza kuongezeka, na sasa ninaambiwa limekuwa kubwa, likijumuisha mataifa tofauti kama vile Nigeria, Lesotho, Botswana, Msumbiji, S.A, Ethiopia, Uganda nk. Wengi wao wakiwa ni wanafunzi katika chuo kikuu cha Pretoria









Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment