FACTS KUHUSU UAMUZI WA MTU KUJIUA



·        

  • Wanaume wana nafasi mara 3 zaidi ya wanawake katika kufanya maamuzi ya kujiua, ingawa wanawake hujaribu mara 2 hadi 3 kutaka kujiua sawa na wanaume

·    

  •     Upweke, watu wanaoishi peke yao au walio pweke wana nafasi zaidi katika kufanya maamuzi ya kujiua

  •  Mtu anayeumwa, aliye dhaifu au aliyepitia vipindi vya kuugua ana nafasi zaidi katika kufanya maamuzi haya

  •  Mtu anayetumia vilevi vya aina yeyote yuko katika hatari ya kufanya maamuzi ya kujiua
  • Mtu anayeongelea au kujaribu mara kwa mara kutaka kujiua huweza kusitisha maisha yake kirahisi kuliko mtu mwingine wa kawaida.


Siku nyingine nitakujia na dalili zao za maneno na vitendo ili ukiziona au kuzisikia uchukue tahadhari – Chris Mauki
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment