Florence Mlaki ndani ya Akemi restaurant pale Golden Jubilee tower
Mama mzazi wa Florence akimlisha wmanae keki
Nikisalimiana na Florence kabla ya kushusha nondo
Upako wa mafundisho umenishukia
Thanks Florence for inviting me, hapa nimeshamaliza kazi, nimewaachia wadau waliosikiliza kuyatendea kazi yaliyofundishwa
Kabla ya kuondoka ilibidi nitie baraka kidogo, kama uonavyo, ma vegetables, na fish kwa sanaaa, kitambi mwiko, ma mafuta mafuta hayahusu skuizi, lazima kuwa na discipline ya kula sio unabugia kila kitu, utakuwa kama baluni
0 comments:
Post a Comment