Mara tu baada ya toasting Queesn na matron wake wakionja champaigne
She was looking extremely gorgeous
Wazazi wa Queen walikuwa wenye furaha sanaa
Queen akimtambulisha Mume wake mtarajiwa
Dancing with my father. Queen akifungua muziki kwa kucheza na baba yake
Kama kawa Director of ceremony MC. Dr. Chris Mauki nikiwa nimeshika mpini kuendesha shuhuli
Vikundi vikipita mbele kutoa zawadi kwa Queen
Shangwe ilikuwa sio ya kitoto kwa kila mtu
Marafiki walikuwa wakishangweka sanaaaaa, nawaona friends niliokuwa nikiishi nao Hatfield Pretoria South Africa, namwona Diana wa The Fields, namwona Chanja pia
Kwa matukio kama haya na huduma zinazohusiana na hizi usisite kuwasiliana nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com













0 comments:
Post a Comment