Couples friends wakiwa ndani ya nyumba ya Dr Kweka na mkewe Proscovier
Kutoka kushoto: Tandi wa Adelard, Subi wa Eric Mchome, Carol wa Michael Nkya na Adeline wa Allen
Joyce wa Rogers Ibengwe akiwa na mtoto
Neema wa Harvey Kombe na Joyce wakiwa wamewashika Fidel na Favor
Protas Godwin akitoa maelezo kwa Tandi, Proscovier, na Dr. Kweka
Kutoka kushoto: Eric Mchome, Allen, Henry Moshi, Michael Nkya na mwanae
Miriam akiwa amemshika mtoto
Mimi na mupenzi, mstahiki meya wa moyo wangu Miriam
Dr. Kweka akimtambulisha mama mkwe kwa friends
Miriam akishukuru kwa niaba ya group
Mwishoni kabisa niliwajibika kukabidhi zawadi kutoka kwa couples friends kwa Bwana na bibi Kweka (Dr. Kweka ni mtaalam wa figo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili)











0 comments:
Post a Comment