My mom, wakati wa suprise party nyumbani kwa kaka Kombe
Watoto nao walikuwepo, Priella, Privella na Praise wa Mtui, Briella wa Nkya na Rommy wa Mauki
Sara mdogo wangu wa tatu
Rommy na maua yake
Mke wangu Miriam akini surprise na keki ya hongera
Chiaaaaaazzzzzzzzzzzzz
Miriam, Upendo, Chris na Ronel kwa mbele
Mama yangu pia hakupitwa airport
Thats Ronel, our 2nd daughter














hallo kaka, karibu sana bongo, hii ndiyo raha ya nyumbani, full ukarimu, chereko chereko na shangwe za familia na wana jamii.. najua ulizi-miss sana ukiwa SA.. nyumbani ni nyumbani, karibu
ReplyDelete