Hii ni leo asubuhi kama ilivyo siku nyingine mimi na Miriam tukiwa nyumbani. wanasema "A healthy mind in a healthy body". Tumeongeza chumba cha zaidi backyard kwa ajili ya mazoezi asubuhi au jioni. Hapa tulikuwa tunatumia laptop tukiongozwa na aerobics version ya Jullian Michael mazoezi ya Abbs zaidi. Unaweza kuzipata versions hizi kwenye youtube na kuzi download. Hii kitu ni tamu balaaa, and it's extra sweet when I do it with my wife
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)




.jpg)





0 comments:
Post a Comment