Chipe na Violeth Malecela wakiwa na furaha kwenye bridal shower party iliyofanyikia nyumbani kwa mzee Malecela pale sea view Jumamosi ya tar 7.02.2015
Shangazi wa ma bibi harusi watarajiwa Mwelle Malecela ndiye aliye host shuhuli nzima
Rafiki yangu Mc Adella ndiye aliyeshika mpini pale kati
Nilipata heshima ya kukaribishwa kuzungumza na mabibi harusi hawa siku hiyo, waliokuwepo wanakumbuka nini kilishuka
0 comments:
Post a Comment