PICHA: HARUSI YA EMMANUEL WALALA "OMO" NA MKEWE REHEMA - JK NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE 20.12.2014

 Sanaa ya Ushawishi. Nikifafanua jambo kwa maharusi Emmanuel Walala "Omo" na mke wake Rehema 

 Ukumbi murua kabisa wa JK Nyerere International Convention Centre (JKNICC) City Centre

 Watu wa mapambo walipatendea haki


 The stage

 Picha toka pozi la juuuu

 Mama wa bwana harusi akisoma ratiba zetu zenye details na mawasiliano ya kumpata Mc Dr. Chris Mauki

 Mama wa biharusi na ndugu wengine wa biharusi wakiingia ukumbini



 Groom's men wakifanya manjonjo yao mbele


 Best man, rafiki yangu wa siku nyingi tokea UDSM Nkundwe Mwakiluma na Matron Jasmine wakiingia ukumbini

 Wakati maharusi wakiingia ukumbini

 Nikiendesha shuhuli

 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Mchungaji Nelson akikaribisha wageni

 Emmanue; "Omo" na Rehema wakikata keki yao ya harusi


 Kama picha inavyojieleza


 Goti sakafuni, mwana wawatu kafundwa, Rehema akikabidhi keki kwa wazazi wa mumewe

 Meza ya Maids na Groom's men



 Mwenyekiti akiishukuru kamati

 Best man Mwakiluma akilisakata blues na maiwaifu wake

Shangwe kwa kushangweka kwenda mbele, biharusi utamtaka mbona????



Kwa matukio ya aina hii na mengine mengi usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com. Fanya sherehe au tukio lako liwe na utofauti, sio tu la kawaida, Inawezekana sana tu
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment