NYAKATI ZETU TOFAUTITOFAUTI

 Nikiwa na maiwaifu wangu Miriam tunabariz

 As you know, she love style sanaaa, hapa she is at home, akitaka kutoka kidogo

 Kikazi zaidi nikiteta jambo na kaka Temu

 I love this kazi, ndo talanta, ndo kipaji, ndo kipawa ndo raha yangu

 Look at her, with her styles. kaenda kufitishia viatu gym room, always looks yummy yummy

 Big up kaka Mkubwa kwa kuamua kuoa, Mume mtarajiwa wa dadangu Amisa na meya wa manispaa ya Mwanza

 Tayari kumwaga nondo kwenye mkutano wa kinamama na mabinti, my bodyguard kwa chati

 The art of perfection

Shopping for herself and for me too
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment