Bwanaharusi Richard Temu na Mkewe mpenzi Elizabeth wakiyarudi mpaka chini, these couple made my day aiseeee
Na King Mswati wa Swaziland naye alikuwepo heheheheeeeeeeee
Kaka mkubwa wa Richard Mr Temu akionyesha kuingiwa na point moja niliyomdondoshea
Wachaga bwana!!!!! mila hadi bongo..... kambege kidogo kabla ya kuingia ndani ya ukumbi, biharusi nahisi anamaliza kata nzima hapo
Vijana hawakutaka mchezo kabisaaaaaa
Richard na Elizabeth wakikata keki yao ya harusi
MC Dr. Chris Mauki, nikienda sawa kuhakikisha maharusi na wageni waalikwa wanafurahia event nzima
Elizabeth alikuwa hot sanaaaa kwenye kucheza, yani she was ever smiling, always joyful. She is such an amazing character
Nikitoa maelekezo kidogo kwa maharusi kabla hatujakwenda kupata dinner, pembeni ni wasimamizi, Tumaini Temu na Mkunde Lekule
Happy people
Sema wewe sasa
Kwa matukio kama haya ya uongozaji wa shuhuli za kijamii, makampuni "corporate functions" na nyinginezo, usisite kuwasiliana nasii kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com
"You have many in event mastering, now you can come taste the difference"














0 comments:
Post a Comment