Elizabeth akiingia ukumbini Best choice Tabata
Hivi ndivyo mpambaji alivyoitendea haki siku hiyo
Kama kawa in every thing God first
Elizabeth mbele ya walioiandaa siku yake
Nyomi ya ukweli, wakinadada na wakinamama walijishindilia ukumbini balaaaa
Mama mchungaji Debora Godfrey Malassy wa City Christian Fellowship alikuwa mmojawapo wa washusha nondo
Baada ya nondo ya kiroho toka kwa mama pastor, Elizabeth akawekwa mtukati kumwagiwa upako wakuiendea ndoa. No prayers, nothing will happen
Hatimaye baada ya nondo ya kiroho, nikakabidhiwa microphone kudondosha makombora ya kisaikolojia yahusuyo mahusiano na ndoa. Nimetumwa kugusa na kubadilisha maisha ya watu. Kazi ni moja tu.
Kwa picha zaidi tembelea msafirimedia.blogspot.com.
Picha kwa hisani ya Msafiri 0713 608 192
Kwa picha zaidi tembelea msafirimedia.blogspot.com.
Picha kwa hisani ya Msafiri 0713 608 192
Kwa huduma za aina hii wasiliana nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com
0 comments:
Post a Comment