TUPIA MACHO KENYE PICHA 10 ZA MAANDALIZI YA SIKU YA MSANII ILIYOFANYIKA MLIMANI CITY HALL TAR 25.10.2014

 Mabango ya wadhamini mbalimbali waliodhamini siku hii kubwa

 Wafanyakazi kutoka kampuni ya Haakneel production ambao ni waandaaji wa shuhuli hii wakihakikisha kila kitu kimekaa sawa kabla ya tukio kuanza
 Director Madudu na Mimi tukijadiliana jambo wakati wa uandaaji wa steji kubwa mchana wa maandalizi ya Siku ya msanii

 Hugo Domingo kama kawaida yao walihakikisha ukumbi umeonekana sawia na wa viwango vya levels za juu sana kwenye suala la mapambo

 Hiyo ndiyo stage ambayo Mimi (Dr. Chris Mauki) na Jokate Mwengelo tulipewa heshima  ya kusimama na kuhost tukio hili la kitaifa mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio ambalo litakuwa likifanyika kila tar. 25 Oktoba kila mwaka


 Hivi ndivyo setting ya viti ilivyokuwa imepangwa, panapendeza sana, Big up kwa Haakneel production
 Mzee Majuto, ni kati ya wakongwe wa sanaa ambao mabango yao yaliuzunguka ukumbi mzima

Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment