Florence Mlaki akiwa na matron wake katika sherehe ya sendoff iliyofanyika Danken hall - Mikocheni
Biharusi mtarajiwa Florence akienda sawa kwenye Kwaito
Looking so great, really like a queen
Tukisalimiana na Florence kabla ya kuanza darasa ndani ya sendoff. Nilimsifu sana dada huyu kuamua sendoff yake iwe kitovu cha kuponya mahusiano ya wengi, shule iliyomwagika hapa ilileta mabadiliko ya wengi
Nondo zikishuka kwa makini
Nikisisitiza jambo kutoka kwenye Face book post yangu ya siku hiyo Ijumaa tar 24.10.2014
Watu tuliiii, ukumbi umetuliaaaa, kila mtu akijitafakari kuhusu kile anachojifunza
Florence asante sana kwa kunikaribisha nakutakia kila la heri katika ndoa yako, kwaheri......Hapa tukiagana na Biharusi mtarajiwa
Rafiki yangu sana MC John Mambya ndiye alikuwa mshika usukani siku hiyo, hapa akikazia kitu kuhusu kilichofundishwa, Mc Mambya na mkewe ni wadau wazuri sana kwenye Couples' sleep over
Kama kawa maiwaifu wangu Miriam wa mie alikuja kunichukua mbele baada ya kushusha doz ya mahusiano, Look at that loving smile............!!!
Baada ya yote tukaenda kujenga mwili, bado nasisitiza proper diet, vegetables kwa wingi, matunda na kuepuka mafuta mengi na starch, Kitambi hakikubaliki.... kote kote kwa wanaume na kwa wanawake


















0 comments:
Post a Comment