HABARI NJEMA KUHUSU COUPLE'S SLEEP OVER 2014 "CLOSER THAN BEFORE"

Hapa ndipo SEDUTA HOTEL itakakofanyikia Couples' sleep over 2014 "Closer than before"



Kutokana na maombi ya wengi, sasa gharama ya ushiriki itakuwa 170,000/= kwa couple badala ya 270,000/= Hii ni baada ya kuwaruhusu couples wawe huru kulipia vyakula na vinywaji kibinafsi kama wapendavyo. Kumbuka kwamba Couple's sleep over 2014 ni kuanzia Ijumaa jioni ya tar 17, 18 na 19 October. Nafasi zimebaki 10 tu, ili kuweka nafasi yako unatakiwa kutuma sh 100000/= kwenye namba 0713 407182 au 0762 247863, na balance ya sh 70000/= italipwa wiki moja kabla ya tukio. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com, au tembelea www.chrismauki.com/matukio uone couple's sleep over zilizopita. Sio ya kukosa kama kweli unayatamani mabadiliko
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment