Abdul na Mwahija
Golden Jubilee Tower, JB Belmont Hall ilivyopambwa
Rafiki yangu mkubwa Dorka wa Dorka Cetering akiwa ba bi harusi
Hawa ni ma DJ's wooote wa Respect na sherehe yetu blog, vijana wa kazi
Mc Matemba, Mc Dokta Cheni na Mama MC Henjewele pia walikuwepo
MC Haris Kapiga na MC Deo Ntukamazina nao ndani ya house
Miriam wa mimi, mimi na bwana harusi Abdul
Kama kawa na mimi pia nilishika usukani
Ma MC's wa mujini woooote walikuwepo
Kwa picha zaidi tembelea www.shereheyetu.com



















0 comments:
Post a Comment