Hii ni couples' sleep over ya mwaka jana pale Shynovo Hotel. Tumefanyia hapa kama couple sleep over mbili au tatu kuanzia tunaanza. Hii ni discussion ya ijumaa usiku. Huwa inakuwa moto mpaka watu wanachelewa sana kulala
Discussion ya Ijumaa jioni ikiendelea, wengine wakiwa wanaendelea kufika
Discussion ya Jumamosi asubuhi baada ya breakfast, yani huwa hapatoshi kwa namna watu wanavyofunguka
Hapa ndipo Seduta Hotel, Mitaa ya Salasala, Hili ni bonge la kiota, Tulifanyia Couples' sleepover ya valentine mwezi wa pili mwaka huu. Waliokuwepo wanakumbuka moto wake. This time tupo hapa hapa kwa mara ya pili. Sitaki kuelezea sana uhondo na teachings zitakazo mwagika hapa
Rogers na Joyce Ibengwe ni permanent members wa couples network, nao hawajawahi kukosa hata event moja
Discussion za jioni hadi usiku zikiwa zimeanza Seduta Garden, hapa ndoa nyingi sana zilipona
Adelard na mkewe Dr. Tandi nao hawajawahi kosa hata moja tangu wahudhurie Couple sleepover ya mwisho ya Shynovo hotel
Mambo ya maakuli kwa sanaaaaaa, Jossy wa Weimar Lawi akiongoza jahazi
Dr. Kweka na mkewe Proscovier, tangu wameingia kwenye hii network ni shangweee tuuuuu
Hawa ni baadhi ya waliohudhuria Valentine Couples' sleepover Seduta Hotel February 2014. Utakutana nao ukija hiii ya 17, 18 na 19 October 2014. Hapo mbele ni Pastor Hiza, yani kwenye ishuz za mahusiano na life in general hii namba ni nyingine kabisaaa, mke wake sasa ndo usiseme. Hawa watakuwepo siku ya jumamosi tar 18/10/2014 kufanya mambo pale Seduta Hotel
Kama unataka kuhudhuria event hiii soma tangazo hilo hapo chini na mwambie na mwenzako. Ziko nafasi za couples 24 tu zilizobaki. Ada ni sh 270000/= Unaweza kulipa sh 100,000 ili kubook nafasi yako na utamalizia balance iliyobaki wiki mbili kabla ya tukio. Kwa maelezo ya hoteli ilipo utapewa mara baada ya kuonyesha nia ya kuhudhuria. Karibu sana na mwalike na mwenzako













0 comments:
Post a Comment