JE UNAIJUA FURAHA “FEKI”??




Ikiwa unapata furaha ya aina yeyote nje ya furaha unayoipata kwenye familia yako (hapa namaanisha furaha kutoka kwa mwenza wako na watoto wako) fahamu hiyo furaha ni “feki”. Pesa, mali, kujulikana, uwezo wa akili, umaarufu, na mafanikio ya aina yeyote ile hayawezi kukupa furaha ya kweli na yenye kudumu, na kama unajihisi kufurahia kwa hali yeyote uliyonayo nje ya familia yako basi hujaijua furaha ya kweli au bado hujajua unachokihitaji maishani mwako. Hapa nadhani wale ambao familia zao ni chanzo cha furaha katika mioyo yao wananielewa nazungumzia nini, “nothing fulfils than a happy home” – Chris Mauki
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment