Yani ile tumekanyaga tu Mwanza, mapokezi yakatushangaza kwanza, mbele waandishi na makamera, nyuma makamera ya video, Hamasa ya watu wa Mwanza kwenye hizi couples talks ilitufurahisha sanaaaaa. Mwanza keep the fire burning
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)



0 comments:
Post a Comment