MZIGO MZIMA BAADA YA MIAKA 3 NA MIEZI 2 PRETORIA. SOUTH AFRICA



Hiki ndicho kiliniweka Pretoria kwa miaka 3 na miezi 2. Kwa miezi tisa nimekuwa nikifanya utafiti nchini Tanzania kuhusu ni kwajinsi gani watoto wadogo wanaathirika kielimu na kisaikolojia katika vipindi ambavyo wazazi wana misuguano, magomvi, mapigano na hata kutengana. Nitakuwa nakudadavulia taratibu mambo haya na wewe ujifunze zaidi, kaa na mimi karibu kupitia www.chrismauki.com, radio talks, gazeti la Mtanzania kila jumapili pamoja na TV show itakayokujia soon kupitia TV 1. 
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment