BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO NILIYOWAHI KUFANYA


Nikitoa mada katika mkutano mkuu wa PPF AICC Arusha

 Nikiongoza harusi kama MC 

Mimi na mkewangu Miriam Mauki tukiongoza sherehe Oyster bay Police Officers Mess

 Nikizungumza kwenye Mwanza Couples' Dinner Gala. Gold Crest Hotel. Mwanza

 Nikizungumza kwenye Women in Balance "Kitchen party gala" Diamond Jubilee Hall

 Huduma kwa jamii, nilipoongoza timu ya kutoka Jakaranda Chuo kikuu cha Pretoria kwenda kuwahudumia watoto waishio kituoni huko Hamanskraal. Nje kidogo ya jiji la Pretoria

Muda wa kuanza kuandaa chakula cha mchana ili tushiriki pamoja na watoto wa kituoni Hamanskraal. Pretoria. South Africa

 Nikiongoza harusi ya Victor George Mkuchika. Diamond Jubilee VIP Hall

 Nikiongoza tukio la ATE Employer of the year award. Kibo hall. Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel

 Makamu wa Rais ndiye alikuwa mgeni rasmi katika ATE  EYA Event. Hyatt Regency

 Nikiongoza shuhuli ya harusi

 Maharusi hawa walinifurahisha sana kwa kuwa creative, waliamua kuwa serve chakula wazazi wao wakiwa ndani ya aprons

Nikiongea na mtoto aliyenivutia sana kwa ufahamu wake katika harusi 
Share on Google Plus

About Baraka Kiranga

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment